Psalms 77:11-12

11 aNitayakumbuka matendo ya Bwana;
naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
12 bNitazitafakari kazi zako zote
na kuyawaza matendo yako makuu.
Copyright information for SwhNEN